Hatua za kushtaki mtu kwa uhalifu

Mjadala unaondelea Kenya kuhusu kesi za uhalifu za watu maarufu umefunua kiasi kidogo tunachojua kuhusu jinsi kesi za uhalifu zinavyosikizwa.